Kipaniya
Kipaniya ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wapaniya. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kipaniya imehesabiwa kuwa watu 94,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipaniya iko katika kundi la Kimalayalam.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipaniya kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipaniya
- lugha ya Kipaniya katika Glottolog
- lugha ya Kipaniya kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipaniya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |