Kipankhu ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Bangladesh na Uhindi inayozungumzwa na Wapankhu. Mwaka wa 2012 idadi ya wasemaji wa Kipankhu nchini Bangladesh imehesabiwa kuwa watu 3200. Idadi ya wasemaji nchini Uhindi haijulikani lakini ni ndogo. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipankhu iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipankhu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.