Katika utarakilishi, kipanya donge (kwa Kiingereza: Trackball, pia puku donge) ni kifaa kielekezi kama kipanya kinachotumika ili kuingiliana kwa skrini cha tarakilishi.

Kipanya donge kinachoitwa Kensington ExpertMouse.

Kipanya donge kinapata jina kutokana na donge ndani ya soketi na vihisio vya pahali.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).
  Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.