Kipele-Ata ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wapele na Waata. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kipele-Ata imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kipele-Ata iko katika kundi la “West New Britain”.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipele-Ata kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.