Kipepeo tarakilishi

Katika utarakilishi, kipepeo tarakilishi (Kwa Kiingereza: computer fan) ni kifaa kinatumika ili kupepelea vijenzi ndani ya tarakilishi. Kwa mfano kipepeo tarakilishi kinaweza kupepelea vifaa kama bongo kuu, bodimama au kiendeshi diski kuu.

Vipepeo viwili vya tarakilishi.

MarejeoEdit

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1).