Kiphake ni lugha ya Kitai-Kadai nchini Uhindi inayozungumzwa na Waphake. Mwaka wa 2007, idadi ya wasemaji wa Kiphake imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiphake iko katika kundi la Kitai ya Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiphake kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.