Kipinigura

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kipinigura kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wapinigura katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kipinigura ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipinigura kiko katika kundi la Kipama-Nyungan cha Kusini-Magharibi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipinigura kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.