Kipokomo (kwa kilugha pia Kipfokomo) ni lugha ya Kibantu nchini Kenya inayozungumzwa na Wapokomo. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kipokomo imehesabiwa kuwa watu 95,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kipokomo iko katika kundi la E70.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipokomo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.