Wapokomo ni kabila la watu wa jamii ya Wabantu wanaoishi kusini mashariki mwa Kenya, katika kaunti ya Tana River.

Lugha yao ni Kipokomo, mojawapo kati ya lugha za Kibantu ambayo inafanana na Kiswahili.

Wengi wao ni Waislamu na Wakristo.

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wapokomo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.