Kia-Pucikwar (au Kipucikwar) ilikuwa lugha ya Kiandamani nchini Uhindi iliyozungumzwa na Wapucikwar visiwani mwa Andaman. Siku hizi hakuna wasemaji wa Kia-Pucikwar tena yaani lugha imetoweka kabisa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipucikwar kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.