Kipunan-Aput
Kipunan-Aput (pia Kiaput) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapunan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Aput imehesabiwa kuwa watu 370 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Aput iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kipunan-Aput kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kipunan-Aput
- lugha ya Kipunan-Aput katika Glottolog
- lugha ya Kipunan-Aput kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kipunan-Aput kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |