Kipunan-Merap (pia Kimerap) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wapunan kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kipunan-Merap imehesabiwa kuwa watu 200 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipunan-Merap iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipunan-Merap kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.