Kipwapwa ni lugha ya Kiaustronesia nchini Kaledonia Mpya inayozungumzwa na Wapwapwa. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kipwapwa imehesabiwa kuwa watu 40 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kipwapwa iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kipwapwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.