Kiqimant (pia Kikayla au Kiqwara) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Ethiopia inayozungumzwa na Wafalashi. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiqimant imehesabiwa kuwa watu 1650. Ingawa idadi ya Wafalashi nchini Ethiopia mwaka 1994 ilikuwa 172,000, Wafalashi wengi hutumia Kiamhara badala ya lugha yao Kiqimant. Tena, mwaka wa 1999 Wafalashi wengi walihamia nchini Israel. Kwa hiyo lugha ya Kiqimant iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Ki iko katika kundi la Kikushi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiqimant kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.