Kiranglong ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waranglong. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiranglong imehesabiwa kuwa watu 8000. Uainishaji wa lugha ya Kiranglong kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiranglong kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.