Kiravula ni lugha ya Kidravidi nchini Uhindi inayozungumzwa na Wayerava na Waadiya. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiravula imehesabiwa kuwa watu 26,900, yaani Wayerava 25,000 na Waadiya 1900. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiravula iko katika kundi la Kimalayalam.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiravula kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.