Kirawang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar na Uhindi inayozungumzwa na Warawang. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kirawang nchini Myanmar imehesabiwa kuwa watu 62,000. Pia kuna wasemaji 1000 nchini Uhindi (2011). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kirawang iko katika kundi la Kinungish.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirawang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.