Kirennell-Bellona ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Warennell-Bellona kwenye visiwa vya Rennell na Bellona. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kirennell-Bellona imehesabiwa kuwa watu 4390. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirennell-Bellona iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirennell-Bellona kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.