Kireta (au Kiretta) ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wareta. Idadi ya wasemaji wa Kireta imehesabiwa kuwa watu 800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kireta iko katika kundi la Kipantar.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kireta kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.