Kiriang ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wariang. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiriang imehesabiwa kuwa watu 76,500. Pia kuna wasemaji 500 nchini Bangladesh. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiriang iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiriang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.