Kiririo ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waririo kwenye kisiwa cha Choiseul. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiririo imehesabiwa kuwa watu 18 tu, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiririo iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiririo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.