Kirsten Prout (amezaliwa Septemba 28, 1990) ni mwigizaji wa filamu kutoka nchini Kanada ambaye kazaliwa mjini Vancouver, British Columbia. Alipata kucheza katika mfululizo wa TV ya ABC Family, Kyle XY alicheza kama Amanda Bloom. Vilevile anajulikana kwa kucheza kama Charlotte "Char" Chamberlin kwenye igizo la vijana la ABC Family,  The Lying Game na Abby kwenye Elektra.

Kirsten Prout
Amezaliwa28 Septemba 1990 (1990-09-28) (umri 34)
UtaifaMkanada
Kazi yakeMwigizaji
Miaka ya kazi2000–hadi sasa

Maisha ya wali

hariri

Baada ya kumaliza elimu ya juu, Prout alijiunga na Chuo Kikuu cha McGill kwa mwaka mmoja, ambapo alijikita zaidi katika masuala ya fasihi katika Kiingereza.[1] Kiangazi kilichofuata alijiandikisha katika miradi mipya miwili, na hatimaye kuacha kusoma chuo kikuu.[1] Prout ana mdogo wake wa kike anaitwa Jennifer.[2]

Filmografia

hariri
Mwaka
Jina
Uhusika
Maelezo
2000 The Linda McCartney Story Stella TV movie
Once Upon a Christmas Brittney Morgan TV movie
2001 Mindstorm Young Tracy Wellman
The Wedding Dress Stella Carver TV movie
Twice Upon a Christmas Brittney Morgan TV movie
2002 Jeremiah Elayna Episode: "The Touch"
2003 Stargate SG-1 Nesa Episode: "Birthright"
2004 The Love Crimes of Gillian Guess Amanda Guess TV movie
2005 Elektra Abigail "Abby" Miller
2006–2009 Kyle XY Amanda Bloom Main role
2007 Tell Me No Lies Samantha Cooper TV movie
2008 Class Savage Julye Main role
2010 The Twilight Saga: Eclipse Lucy
Seven Deadly Sins Miranda
My Super Psycho Sweet 16: Part 2 Alex Bell TV movie
Maternal Obsessions Taylin TV movie
Meteor Storm Kara TV movie
2011-2012 The Lying Game Charlotte "Char" Chamberlin Series regular, 12 episodes
2012 My Super Psycho Sweet 16: Part 3 Alex Bell TV movie
NCIS Lydia Wade Season 10 Episode 8: "Gone"
2013 Psych Zola Season 7 Episode 6: "Cirque du Soul"
Devious Maids Allison Season 1 Episode 5: "Taking Out the Trash"
Social Nightmare Cat TV Movie
No Clue Reese
2014 Joy Ride 3 Jewel McCaul Direct to video

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Christina Radish (2010-01-03). "Exclusive Interview: Kirsten Prout is Lucy in The Twilight Saga: Eclipse". IESB. Iliwekwa mnamo 2010-01-04.
  2. "Interview with Kirsten Prout". Juni 2006. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2010-01-03. Iliwekwa mnamo 2015-08-05.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)