Vancouver
Vancouver ni mji wa pwani uliopo kwenye bandari kuu ya kusini-magharibi mwa jimbo la British Kolumbia, Kanada. Huu ni mji mkubwa kabisa katika British Kolumbia na pia mji wa tatu kwa ukubwa katika Kanada, wenye zaidi ya watu milioni 2.
Panorama ya Vancouver | |
Mahala pa Vancouver | |
Eneo | 114.67 km²
2,878.52 km² 602,231 (2005 est.) 8 2,132,824 (2004 est.) 3 4758/km² |
Mahala | 49°16' N 123°7' W
Usawa wa Bahari 167 mita |
Umeanzishwa | 1886 |
Jimbo | British Kolumbia |
Meya | Sam Sullivan |
Saa za Eneo | Pasifiki (UTC-8)
V5K to V6Z 604, 778 |
Asili ya Mji
haririMji wa Vancouver ulianzishwa mnamo mwaka wa 1886, na kupewa jina hilo kwa heshima ya George Vancouver, aliyekuwa baharia kutoka nchini Uingereza. Aliishi kunako miaka ya 1700, na alikuwa akitumia boti kupitia maeneo haya na kugundua mji wa Vancouver na Kisiwa cha Vancouver.
Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Vancouver kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |