Kirunga ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Warunga. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kirunga nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 21,500. Pia kuna wasemaji 21,500 tena nchini Afrika ya Kati. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kirunga iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kirunga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.