Kisaami cha Akkala

Kisaami cha Akkala ilikuwa lugha ya Kiurali nchini Urusi iliyozungumzwa na Wasaami. Mwaka wa 2003 msemaji wa mwisho wa Kisaami ya Akkala akafariki, yaani lugha imetoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaami ya Akkala iko katika kundi la Kisami.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaami cha Akkala kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.