Kisaami cha Kildin

Kisaami cha Kildin ni lugha ya Kiurali nchini Urusi inayozungumzwa na Wasaami. Mwaka wa 2010 idadi ya wasemaji wa Kisaami ya Kildin imehesabiwa kuwa chini ya 300, na lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaami ya Kildin iko katika kundi la Kisami.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaami cha Kildin kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.