Kisaami cha Skolt ni lugha ya Kiurali nchini Ufini na Urusi inayozungumzwa na Wasaami. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisaami ya Skolt imehesabiwa kuwa watu 300 tu, na Urusi kulikuwa na wasemaji ishirini tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaami ya Skolt iko katika kundi la Kisami.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisaami cha Skolt kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.