Kisaba
Kisaba ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Chad inayozungumzwa na Wasaba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisaba imehesabiwa kuwa watu 1340. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisaba iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisaba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisaba
- lugha ya Kisaba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/saa
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |