Kisabaot ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Kenya inayozungumzwa na Wasabaot. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisabaot imehesabiwa kuwa watu 241,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisabaot iko katika kundi la Kinilotiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisabaot kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.