Wasabaot
Wasabaot ni jina la kabila dogo la Waniloti ambalo huhesabiwa la asili zaidi katika kabila kuu la Wakalenjin.
Wanaishi kwenye mlima Elgon, nchini Kenya.
Lugha
haririWao huongea Kisabaot, lahaja ya lugha ya Kikalenjin, mojawapo ya lugha za Kiniloti.
Tanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu utamaduni wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Wasabaot kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |