Kisahu ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasahu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kisahu imehesabiwa kuwa watu 7500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisahu iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisahu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.