Kisakachep (pia Kikhelma) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Wasakachep. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kisakachep imehesabiwa kuwa watu 25,000. Uainishaji wa lugha ya Kisakachep kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisakachep kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.