Kisama-Balangingih

Kisama ya Balangingih ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino na Malaysia inayozungumzwa na Wasama. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisama ya Balangingih nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 80,000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Malaysia (2013). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisama ya Balangingih iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisama-Balangingih kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.