Kisama-Kusini ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino na Malaysia inayozungumzwa na Wasama. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kisama-Kusini imehesabiwa kuwa watu 200,000 nchini Ufilipino. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Malaysia (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisama-Kusini iko katika kundi la Kibarito.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisama-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.