Kisasak (pia Kilombok) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasasak kwenye kisiwa cha Lombok. Mwaka wa 1989 idadi ya wasemaji wa Kisasak imehesabiwa kuwa watu 2,100,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisasak iko katika kundi la Kibali-Sasak-Sumbawa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisasak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.