Kisawi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasawi. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kisawi imehesabiwa kuwa watu 3500. Hata hivyo, lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisawi iko katika kundi la Kiawyu-Dumut.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisawi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.