Kiseberuang ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseberuang kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiseberuang imehesabiwa kuwa watu 37,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseberuang iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseberuang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.