Kisedoa (pia Kitawaelia) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasedoa kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 2009 idadi ya wasemaji wa Kisedoa imehesabiwa kuwa watu 900 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisedoa iko katika kundi la Kicelebiki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisedoa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.