Kisegai ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasegai kwenye kisiwa cha Kalimantan. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kisegai imehesabiwa kuwa watu 2000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisegai iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisegai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.