Kisekak (pia Kilonchong) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wasekak kwenye kisiwa cha Bangka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kisekak imehesabiwa kuwa watu 420 tu, maana yake lugha iko hatarini mwa kutoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisekak iko katika kundi la Kimalayiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisekak kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.