Kiseko-Padang (pia Kiwono) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseko kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kiseko-Padang imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseko-Padang iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseko-Padang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.