Kiseko-Tengah
Kiseko-Tengah (pia Kipewanean) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseko kwenye kisiwa cha Sulawesi. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiseko-Tengah imehesabiwa kuwa watu 2500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseko-Tengah iko katika kundi la Kisulawesi-Kusini.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiseko-Tengah kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiseko-Tengah
- lugha ya Kiseko-Tengah katika Glottolog
- lugha ya Kiseko-Tengah kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiseko-Tengah kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |