Kiselaru ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waselaru kwenye visiwa vya Selaru, Yamdena na Nuswotar. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiselaru imehesabiwa kuwa watu 8000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiselaru iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiselaru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.