Kiseluwasan ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waseluwasan kwenye kisiwa cha Yamdena. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiseluwasan imehesabiwa kuwa watu 2840. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiseluwasan iko katika kundi la Kimaluku.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiseluwasan kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.