Kisenoufo-Nanerige
Lugha ya Senufo inayozungumzwa kusini-magharibi mwa Burkina Faso
Kisenoufo-Nanerige ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Burkina Faso inayozungumzwa na Wasenoufo. Mwaka wa 1985 idadi ya wasemaji wa Kinanerige imehesabiwa kuwa watu 50,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kinanerige iko katika kundi la Kigur.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kinanerige kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kinanerige
- lugha ya Kinanerige katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sen
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisenoufo-Nanerige kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |