Kishe ni lugha ya Kihmong-Mien nchini Uchina inayozungumzwa na Washe. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kishe imehesabiwa kuwa watu 910 wakati idadi ya Washe ilikuwa zaidi ya laki saba. Kwa vile Washe wa sasa huongea Kihakka kama lugha yao ya kwanza badala ya Kishe, lugha ya Kishe imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni. Uainishaji wa lugha ya Kishe kwa ndani zaidi haujulikani.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kishe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.