Kisheni ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Washeni. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kisheni imehesabiwa kuwa watu sita tu, maana yake lugha imekaribia kutoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kisheni iko katika kundi la Kikainji. Wengine husema kuwa lugha ya Kisheni ni sawasawa na lugha ya Kiziriya.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisheni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.