Kiziriya ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waziriya. Idadi ya Waziriya imehesabiwa kuwa watu 2000 lakini wameacha lugha yao. Kwa hiyo, inawezekana kwamba lugha ya Kiziriya imeshatoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiziriya iko katika kundi la Kikainji. Wengine husema kuwa Kizirya ni sawa na lugha ya Kisheni.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiziriya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.