Kisherdukpen ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Washerdukpen. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kisherdukpen imehesabiwa kuwa watu 3100. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisherdukpen iko katika kundi la Kikho-Bwa.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisherdukpen kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.