Kisherpa ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal, Uchina na Uhindi inayozungumzwa na Washerpa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kisherpa nchini Nepal imehesabiwa kuwa watu 145,000. Pia kuna wasemaji 18,300 nchini Uhindi (2001) na wasemaji 800 nchini Uchina (1994). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kisherpa iko katika kundi la Kibodish.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kisherpa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.